Ezekiel 20:37-38

37 aNitawafanya mpite chini ya fimbo yangu, nami nitawaleta katika mkataba wa Agano. 38 bNitawaondoa miongoni mwenu wale wanaohalifu na wale wanaoasi dhidi yangu. Ingawa nitawatoa katika nchi wanazoishi, hawataingia katika nchi ya Israeli. Ndipo mtakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.

Copyright information for SwhNEN